Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Narok asema rais ametekeleza miradi mingi

  • | Citizen TV
    1,057 views
    Duration: 1:55
    Mirengo tofauti ya kisiasa inapoendelea kuibuka mapema kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu amemtetea Rais William Ruto akisema anstahi kupewa nafasi ya kuongoza taifa kwa muhula wa pili licha ya upinzani kumkashifu katika mikutano ya siasa hivi punde. Akizungumza jana baada ya kushiriki ibada katika Kanisa la St. Paul Marinwat Sub-Parish wadi ya Sogoo eneo bunge la Narok Kusini Gavana Ole Ntutu amewarai wakaaji wa Kaunti ya Narok kutumia fursa ya kibiashara pindi mradi wa reli na kiwanja cha ndege zitakapokamilika. Wakati huo huo Ntutu amewakumbusha wazazi na wanafunzi kuwa wangalifu wanapovuka mito iliyofurika kutokana na mvua inyoendelea kushuhudiwa na kuwalinda katika likizo hii fupi.