Gavana wa Trans-Nzoia George Natembeya aachiliwa kwa dhamana ya shillingi 500,000

  • | Citizen TV
    6,980 views

    Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, ameachiliwa kwa dhamana ya shillingi 500,000 baada ya kukana mashtaka ya ufisadi. Aidha mahakama imetoa masharti makali kwa Gavana Natembeya ikiwemo kuwekewa vikwazo vya kutofika afisi zake za kaunti ya Trans Nzoia kwa kipindi cha siku 60.