Gavana wa Wajir Ahmed Abdullahi ateuliwa mwenyekiti wa Baraza La Magavana

  • | Citizen TV
    2,147 views

    Baraza la magavana linafanya uchaguzi wake hii leo hapa jijini Nairobi. Hii ni baada ya muhula wa kuhudumu wa viongozi wa sasa wa baraza hilo kukamilika. Magavana Ahmed Abdullahi wa Wajir, Mutahi Kahiga wa Nyeri, Johnson Sakaja wa Nairobi, Joseph Ole Lenku wa Kajiado, na Muthomi Njuki wa Tharaka Nithi wanawania kiti cha ugavana.