Skip to main content
Skip to main content

Gavana Wamatangi amefika mbele ya kamati ya uhasibu bunge la seneti

  • | Citizen TV
    1,166 views
    Duration: 1:50
    Gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi anahojiwa na kamati ya uhasibu katika bunge la seneti kuhusiana na matumizi ya kaunti. Kwenye kikao hicho, maseneta wamemtaka Wamatangi kuelezea matumizi ya shilingi bilioni 17 zilizotumika kwa ujenzi wa vituo vya elimu na hata viwanja. Hata hivyo maseneta wamesema wanaridhishwa na uthibitisho wa gavana na maafisa wake kuhusiana na matumizi ya pesa hizo. Swala la msukosuko wa uongozi wa kaunti ya Kiambu pia likizungumziwa.