Skip to main content
Skip to main content

Gavana Wamatangi asema hatatishwa na visingizio vya kisiasa kutoka kwa wapinzani wake

  • | KBC Video
    646 views
    Duration: 3:05
    Gavana wa Kiambu, Kimani Wamatangi, ameapa kutokubali kile anachokitaja kuwa vitisho na visingizio vya kisiasa kutoka kwa wapinzani wake katika kutekeleza ajenda yake ya maendeleo.Wakati huohuo, afisi ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa leo imeendelea kutoa mafunzo na kukuza uwezo kwa maafisa wa vyama vya kisiasa, ikiwa ni maandalizi ya kabla ya uchaguzi. Mwanahabari wetu John Kahiro ana maelezo zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive