- 976 viewsDuration: 1:30Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti ametoa onyo kali kwa maafisa wa kaunti wanaohusika na uhalifu wa kufyonza na kutumia vibaya mafuta ya kaunti katika vituo vya kuuzia mafuta ya petroli. Kulingana naye, baadhi ya maafisa wamekuwa wakitumia mafuta kwa ajili ya kujinufaisha binafsi, kudhoofisha utoaji wa huduma na kufuja rasilimali za umma.