Gavana Wavinya Ndeti awataka wazazi kuzungumza na wana wao dhidi ya mihadarati

  • | Citizen TV
    184 views

    Kero ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana imekuwa donda sugu huku familia nyingi zikiwapoteza wapendwa wao kutokana na utumizi wa vileo na mihadarati. Kutokana na hayo, gavana wa Machakos Wavinya Ndeti amewataka wazazi kuzungumza na wana wao ili kutambua mapema matatizo yanayowafanya kuanza kutumia dawa za kulevya.