25 Aug 2025 1:20 pm | Citizen TV 1,049 views Duration: 35s Wanachama wa genge la vijana wanaowahangaisha wakazi wa mji wa Malindi, kaunti ya Kilifi wamekamatwa katika operesheni ya usalama iliyoendeshwa na polisi wa eneo hilo.