17 Sep 2025 8:08 pm | Citizen TV 2,017 views Duration: 1:28 Polisi eneo la Ndeiya, Kaunti ya Kiambu, wanachunguza tukio moja ambapo genge la uhalifu lilivamia na kuanza kubomoa nyumba katika kijiji cha Boma.