25 Oct 2025 7:41 pm | Citizen TV 772 views Duration: 1:41 Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Chemosit, huko Bureti, kaunti ya Kericho huku wakazi waliandamana na kufunga barabara ya Kericho kuelekea Litein.