Skip to main content
Skip to main content

Gor Mahia kumenyana na Tusker Fc

  • | Citizen TV
    99 views
    Duration: 1:06
    Gor Mahia FC wamekamilisha mazoezi kabla ya mechi muhimu ya ligi kuu ya taifa dhidi ya Tusker FC kwenye uwanja wa Wang'uru huko Embu. Mechi hiyo iliyopangiwa uwanja wa Embu ilihamishiwa hadi uwanja wa Kasarani Nairobi kabla ya kurudishwa Embu tena.