Skip to main content
Skip to main content

Gumzo la kutenga nyadhifa lazua mjadala vyamani UDA na ODM

  • | Citizen TV
    3,801 views
    Duration: 2:50
    Mgawanyiko umeanza kushuhudiwa miongoni mwa wanachama wa ODM na UDA kuhusu swala la kugawanya maeneo ya kugombea vyeti vya chama kwenye uchaguzi kama ilivyopendekezwa na WanaODM kwenye mazungumzo yao na UDA.