Hafla ya Futari ya Pamoja inavyojenga Umoja na Amani

  • | VOA Swahili
    69 views
    Mwandishi wa habari Fuad Muhdin aliyehudhuria Hafla ya Futari ya Pamoja Addis Ababa, Ethiopia anaeleza: “Jamii yote iliyokusanyika hapa (katika hafla hii) imekuwa ikihudhuria bila kukosa shughuli hii kwa miaka minne mfululizo. Jambo la kipekee, hakuna vurugu, kila kitu kilikwenda vizuri. Tukio hili imara linaonyesha jinsi Uislam unavyosimamia amani, na inaainisha umuhimu wa mchango wa Waislam wa Ethiopia katika kuhamasisha amani. Inaonyesha kuwa katika Uislam ni utambulisho unaopelekea watu hao kuwa mabalozi wa amani.” -AP ⁣⁣ #Ethiopia #ramadhani #Addisababa #sheikh #abubekerahmed #mtumemuhammad #voa #voaswahili #saumu #futari #Waislam #adhan #italia #ukombozi #vita #mwandishi #FuadMuhdin