Hali ya ukame nchini Kenya

  • | K24 Video
    21 views

    Kwa kila sekunde arubaini na nane, mtu hufariki kutokana na njaa katika nchi za Kenya, Somalia na Ethiopia. Hii ni kulingana na ripoti ya mashirika ya Oxfam pamoja na save the children ambayo yameangazia kutowajibika kwa wakati ili kuzuia maafa yanayotokana na ukame.

    child