Hali ya umasikini inavyolemaza elimu ya watoto werevu wanaokumbana na umasikini

  • | West TV
    54 views
    Wanafunzi wa kidato cha kwanza wakitarajiwa kuanza kujiunga na shule za upili jumatatu juma lijalo mwanafunzi mmoja katika kijiji cha bumutiru wadi ya kingandole anahofia kukosa kuendeleza masomo yake licha ya kupata alama 388 katika mtihani wa kcpe mwaka 2023. Haya yanajiri huku wanafunzi waliopata zaidi ya alama 375 katika wadi jirani ya marachi ya kati wakinunuliwa baadhi ya vifaa vitakavyohitajika shuleni na mwakilishi wa wadi hiyo