Hali ya wasiwasi yagubika kaunti ya Mandera mpakani Somalia

  • | Citizen TV
    82 views

    Hali ya wasiwasi imekumba maeneo ya kaunti ya Mandera kutokana na mapigano yanayoendelea nchini Somalia yanayohusu vitengo tofauti vya usalama nchini humo…kitengo kimoja kikiongozwa na Jubaland forces of Somalia na kingine ni cha Federal Government of Somalia…