Hamasisho yatolewa dhidi ya ukataji miti eneo la Pwani

  • | Citizen TV
    190 views

    Wakaazi wa eneo la Mackinon katika mpaka wa Kwale na Taita Taveta wamepokezwa mafunzo kuhusu athari za ukataji miti kwa uchomaji makaa ili kulinda mazingira. Baadhi ya wakaazi wakipokea mafunzo ya kutengeza makaa yasiyo na moshi na madhara.