6 Feb 2026 1:46 pm | Citizen TV 84 views Mkufunzi wa Harambee starlets Beldine Odemba ameeleza kuridhishwa na kambi ndogo ya mazoezi kwa wachezaji wa ndani wa Harambee starlets kuelekea kombe la mataifa ya Afrika kwa wanawake mwaka huu nchini Morocco.