- 237 viewsDuration: 1:02Timu ya taifa ya soka kwa wanawake Harambee Starlets imeendeleza mazoezi yake tayari kwa mchuano wa FIFA series utakaoandaliwa nchini wikendi. Kikosi hicho ambacho kinaendelea kukamilika kambini kitachuana na india katika nusu fainali huku Australia wakiwaava na Malawi kwenye nusu nyengine. Timu ya taifa ya India itakuwa ya kwanza kuwasili nchini mchana wa leo ikifuatwa na Australia ambao watawasili kwa makundi. Wakenya wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchuano huo wa kihistoria.