18 Jul 2026 7:57 pm | Citizen TV 325 views Duration: 1:18 Timu ya taifa ya soka kwa wanawake, Harambee Starlets, imeimarisha mazoezi yake jijini Miramas, Ufaransa, kuelekea michuano ya WAFCON itakayofanyika Morocco mwishoni mwa mwezi huu.