- 28,276 viewsDuration: 9:06Msanii wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Harmonize amesema anatamani kuwa na familia, lakini hataki kukurupuka kufanya uamuzi huo. Anasema anahitaji muda wa kujitathmini na kuelewa changamoto zilizopo kabla ya kuamua kuanzisha familia. Amezungumza na DJ Edu masuala mbalimbali katika maisha yake na safari ya muziki ikiwemo wasanii ambao angependa kufanya nao kazi kwa sasa #bbcswahili #harmonize #tanzaniabongofleva Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw