- 3,949 viewsDuration: 24sMwanamume mmoja Gavin Thorpe, 42, aliyetumia gari lake aina ya Range Rover kurudi nyuma kwa kasi na kugonga kwa makusudi magari mawili pamoja na jengo la baa, amefungwa jela miezi 23 na mahakama ya nchini Uingereza Inadaiwa kuwa kulitokea mzozo kati ya mwanamke mmoja na Gavin Thorpe. Baada ya tukio hilo, mwanamke huyo hakutaka kuondoka pamoja na Thorpe. Badala yake, aliwaomba wanaume wengine wawili wamsaidie usafiri. Hakuna mtu aliyejeruhiwa vibaya katika tukio hilo #bbcswahili #uingereza #ugomvi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw