Hatma ya baadhi ya watoto Taita Taveta iko ati ati kwa kukosa karo

  • | Citizen TV
    260 views

    Familia kadhaa zimeendelea kusalia njia panda kuhusu hatma ya watoto wao waliokamilisha mtihani wa kidato cha nne na kukosa namna ya kujiunga na vyuo vikuu. Licha ya baadhi ya wanafunzi kufanya vyema kwenye KCSE, baadhi wamesalia bila mpango wa namna wataendeleza masomo yao.