Skip to main content
Skip to main content

Hatma ya vyeti vya KIM yatia wasiwasi; maafala 100,000 waathirika

  • | Citizen TV
    487 views
    Duration: 3:01
    Hatma ya zaidi ya maafala laki moja waliosomea taasisi ya kim iko kwenye njiapanda baada ya halmashauri ya elimu ya kiufundi kubatilisha vyeti kwa taasisi hiyo vya tangu mwaka wa 2018. Aidha maelfu ya wanafunzi waliokuwa wakisomea taasisi hiyo pia haijulikani. Huku maafala waliosomea taasisi hii na walioajiriwa sasa pia wakiwa na wasiwasi, taasisi hiyo inasema inafanya kila iwezalo kutatua mzozo huo.