Skip to main content
Skip to main content

Hatua ya Gavana Wavinya Ndeti yazua mjadala kuhusu uhuru wa vyombo vya habari

  • | NTV Video
    1,575 views
    Duration: 3:12
    Bunge la Kaunti ya Machakos limeanzisha uchunguzi kufuatia hatua ya Gavana Wavinya Ndeti kuingia ndani ya majengo ya bunge hilo na Kuelekeza macho yake kwa wanahabari, hatua inayozua mdahalo kuhusu uhuru wa vyombo vya habari. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya