"Hatua ya Israel ya kukataa kuingiza chakula Gaza ni 'silaha ya kivita'"

  • | BBC Swahili
    1,958 views
    Israel, kwa upande wake, imemshutumu Lazzarini kwa kusema uongo na kudai kuwa inajilinda dhidi ya Hamas kupitia operesheni zake za kijeshi. Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa kupeleka misaada Gaza, huku kukiwa na tahadhari mpya kuwa takriban watu nusu milioni, sawa na mmoja kati ya watano wanakabiliwa na njaa kali. Wazazi katika Gaza wamesema wanaishi kwa hofu kubwa, wakihangaika kupata chakula na dawa kwa ajili ya watoto wao, huku Israel ikizuia misaada kuingia kwa mwezi wa tatu sasa. #bbcswahili #gaza #hamas Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw