18 Oct 2025 7:24 pm | Citizen TV 4,719 views Duration: 1:23 Hatua za mwisho mwisho za kuandaa kaburi la hayati Raila Odinga zinaendelea nyumbani kwao Kang'o Ka Jaramogi huko Bondo ambako wahandisi wanatayarisha eneo ambako atapumzishwa hapo kesho Jumapili.