14 Oct 2025 10:42 am | Citizen TV 152 views Duration: 3:27 Hazina ya ufadhili wa elimu ya vyuo vikuu inazindua mfumo wa kidijitali utakaorahisisha utoaji huduma kwa wanafunzi . waziri wa elimu Migos Ogamba anahudhuria hafla hiyo hapa jijini Nairobi.