Skip to main content
Skip to main content

Heko kwa mwalimu wa teknolojia wa shule ya msingi ya Tala Township

  • | Citizen TV
    611 views
    Duration: 1:45
    Sherehe katika Shule ya Msingi ya Tala Township huku Bw. Augustine Nzuki, mtaalamu wa ICT, ajiandaa kujiunga na walimu kutoka mabara mengine huko Shenzhen, China kwa hisani ya UNESCO kwa ziara ya Asia-Afrika chini ya mpango wa UNESCO-CODEMAO wa uandishi wa habari kwa vijana. Mpango huo walenga kuimarisha uwezo wa vijana katika akili bandia na programu, kukuza ubadilishanaji wa kimataifa na ufunzaji shirikishi na kusaidia maendeleo ya mfumo ikolojia jumuishi wa Elimu ya kidijitali. Bw. Nzuki ni miongoni mwa walimu 4 waliochaguliwa kutoka Afrika waliopangwa kwa ajili ya ziara hiyo na ameteuliwa kuwa Kiongozi wa timu ya Afrika.