"Hii sio ngoma bali ni 'dhikir'"

  • | BBC Swahili
    1,564 views
    Kikundi maarufu cha ngoma cha Twalikadiria maarufu kwa jina la Chunda Mkoani Morogoro kinaendelea kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na mtindo wake wa kuimba na kucheza ngoma tangu mwishoni mwa miaka ya 90 Kikundi hiki kinaundwa na wanaume tupu na hakuna ngoma yoyote au ala yoyote ya muziki inayotumika zaidi ya kukita miguu chini na mpangilio wao wa sauti. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds akiwa mkoani Morogoro alishudia wakitumbuiza na hii hapa ni taarifa yake. #bbcswahili #tamzamia #morogoro Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw