Hisia mseto zimeendelea kuibuka kuhusu ukodishaji wa Sony Sugar

  • | Citizen TV
    347 views

    Mipango inayoendelea ya kukodisha kampuni ya sukari ya Sony inazidi kuibua hisia mseto kutoka kwa viongozi na hata wakulima wa miwa katika eneo la Awendo