Skip to main content
Skip to main content

Historia ya Kuundwa kwa Taifa Kubwa Duniani

  • | BBC Swahili
    12,130 views
    Duration: 12:30
    Tarehe 4 Julai, Marekani ilitimiza miaka 250, lakini ilikuaje ikawa nchi hapo mwanzo? Hii ni simulizi iliyoanza na Uhispania kumtuma Christopher Columbus kutafuta njia mpya ya kwenda Asia mwaka 1492 na kuishia na vita kati ya Uingereza na makoloni yake yenyewe huko Amerika Kaskazini, ambayo yalitangaza uhuru mwaka 1776. Hii ndiyo asili ya Marekani. Chapter: 00:00–00:29 – Marekani ilikuwaje taifa miaka 250 iliyopita? 00:30–01:18 – Uhispania yamtuma Christopher Columbus 01:19–01:49 – Kwa nini Uingereza ilianzisha makoloni Amerika Kaskazini. 01:50–02:25 – Koloni la kwanza la Uingereza huko Jamestown 02:26–03:00 – Athari za ukoloni kwa wenyeji wa asili wa Marekani 03:01–03:55 – Nafasi ya biashara ya utumwa kutoka Afrika 03:56–04:52 – Kuanzishwa kwa makoloni 13 ya Uingereza. 04:53–05:38 – Safari ya kuelekea mapinduzina vita dhidi yaUfaransa 05:39–06:14 – Uingereza yaongeza kodi kwa makoloni ya Marekani 06:15–08:00 – Maandamano yalivyochochea vita dhidi ya Uingereza. 08:01–08:31 – Kitabu Common Sense cha Thomas Paine 08:32–09:10 – Kutangazwa kwa Uhuru wa Marekani Julai 4 1776. 09:11–09:43 – Kwa nini uhuru wa1776 haikuwa mwisho wa safari 09:44–10:10 – Kwa nini Ufaransa na Uhispania zilijiunga Vita vya Marekani. 10:11–11:12 – George Washington aongoza jeshi dhidi ya Uingereza. 11:13–11:29 – Katiba mpya na George Washington rais wa kwanza. 11:30–12:18 – Mapinduzi ya Marekani yanavyoendelea kuathiri Marekani hadi leo. #bbcswahili #marekani #uhuruwamarekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw