Historia ya Miaka 65 ya BBC Swahili kwa sekunde 65

  • | BBC Swahili
    760 views
    ''Hii ni London'' Wiki kuanzia leo Jumatatu Juni tarehe 27, BBC Swahili Itakuwa Zanzibar na Bukavu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuadhimisha miaka 65 ya Kukuhabarisha Kukuburudisha na Kukuelimisha. Tazama historia yetu ya miaka 65 kwa sekunde 65. Unaweza pia kuwasiliana nasi kwa kutumia #bbcswahili65 Hongera kwa kuendelea kutusikiliza, ila sasa tungependa kukusikiza wewe. Je ungependa tuangazie habari gani? #bbcswahili65 #kenya #tanzania