Skip to main content
Skip to main content

"Hofu inapoteza muda na kuua naoto"

  • | BBC Swahili
    6,226 views
    Duration: 1:33
    Mkufunzi wa urembo na miondoko Tanzania Pato Adam kutoka @mudamodels anasema haikuwa rahisi kwake kuanza kufundisha walimbwende kwani jamii ilimkosoa na kuona anafanya jambo lisilo la kawaida kufanywa na wanaume Kwa miaka mitatu amekuwa akiifanya hii na ameanza kujipatia umaarufu mtandaoni nchini Tanzania huku baadhi ya wanafunzi wake wakiwa tayari wamefanya vizuri kwenye majukwaa ya mitindo na urembo kimataifa 🎥: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #tiktoktanzania🇹🇿 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw