Hoja ya kutekeleza sheria ya ununuzi wa bidhaa na huduma za umma ya 2015 imewasilishwa bungeni Kisii

  • | KBC Video
    11 views

    Hoja ya kutekeleza sheria ya ununuzi wa bidhaa na huduma za umma ya mwaka 2015 ili kutenga asilimia 30 ya zabuni za kaunti kwa makundi maalum imewasilishwa katika bunge la kaunti ya Kisii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive