Hospitali ya Mediheal yataka mwongozo kuhusu taarifa za wateja

  • | Citizen TV
    528 views

    Wasimamizi wa hospitali ya Mediheal wameelekea mahakamani kupinga upekuzi wa maelezo ya wagonjwa wa figo kwenye uchunguzi wa serikali unaoendelea. Mawakili wa hospitali hii wakitaka mahakama kutoa mwongozo wa namna taarifa za wagonjwa wa figo na waliotolewa viungo hivyo kwa matibabu zitakavyohifadhiwa wakati wa uchunguzi. Hospitali hii imewasilisha stakabadhi za wagonjwa wa figo waliowashughulikia mbele ya kamati inayoendesha uchunguzi,