- 331 viewsDuration: 2:25Miezi 5 baada ya mitambo ya SHA kuzimwa katika hospitali ya Kiadventista ya Nyanchwa Kaunti ya Kisii , usimamizi wa hospitali hiyo sasa umezindua mpango maalum wa kuboresha huduma za kiafya licha ya changamoto zilizowakumba hapo awali