Skip to main content
Skip to main content

Hospitali zinazowasilisha maombi bandia kwa SHA ya malipo zamulikwa

  • | KBC Video
    333 views
    Duration: 1:08
    Wizara ya afya imefunga vituo elfu 1,118 vya afya kote nchini kwa madai ya kuhusika kwenye ulaghai kupitia mfumo wa halmashauri ya afya ya jamii SHA. Haya ni kwa mujibu wa waziri wa afya Aden Duale, ambaye alisema kwamba baadhi ya vituo hivyo vinalazimisha upasuaji wakati wa kujifungua ili kudai malipo zaidi. Waziri alifichua hayo wakati wa warsha ya wabunge inayoendelea mjini Naivasha kaunti ya Nakuru. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive