Huko Kwale wasichana walioolewa mapema wanapewa nguvu mpya

  • | NTV Video
    1,139 views

    Waswahili hunena kwamba kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa upishi, msemo huu umedhihirika katika kaunti ya Kwale ambapo wasichana walioolewa mapema na kupata watoto wakiwa wangali wachanga wanajikakamua kujikimu ki-maisha kupitia kuwezeshwa kiuchumi baada ya baba watoto kuingia mitini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya