Skip to main content
Skip to main content

Huzuni na simanzi zatanda mazishini mwa mwathiriwa wa ghasia za Keumbu

  • | Citizen TV
    3,301 views
    Duration: 2:43
    Huzuni na Simanzi zilitanda Bobasi kaunti ya Kisii katika mazishi ya Vincent Osiemo aliyeaga dunia huko Keumbu ghasia zilipozuka katika mkutano wa Linda Mwananchi. Waliomfahamu walimtaja Osiemo kama kijana aliyetia bidii kuisaidia familia yake. Na kama anavyoripoti Chrispine Otieno viongozi wa kisiasa walitumia fursa hiyo kukashifu vurugu inayozidi kushuhudiwa katika hafla mbalimbali za Kisiasa.