Huzuni yatanda Marakwet baada ya mwanaumme mmoja kuwakatakata kwa panga mama pamoja na mwanawe

  • | Citizen TV
    2,283 views

    Hali ya huzuni imetanda katika eneo la Kapcherop, eneo bunge la Marakwet Magharibi kaunti ya Elgeyo Marakwet baada ya Mwanaumme mmoja kuwakatakata kwa panga mama pamoja na mwanawe kutokana na kile kinashukiwa kuwa ni mzozo wa kimapenzi.