Ibada ya wafu ya Leonard Mambo Mbotela yaandaliwa Nairobi

  • | KBC Video
    1,081 views

    Biwi la simanzi lilihanikiza kote katika kanisa la All Saints Cathedral jijini Nairobi, huku jamaa, marafiki, maafisa wa serikali na viongozi wa kisiasa wakijumuika kumpa buriani mtangazaji farisi, Leonard Mambo Mbotela. Mtangazaji huyo wa miaka mingi aliyevutia wengi kupenda redio na runinga kutokana na sauti yake nyerezi kwa miongo kadhaa, alikumbukwa kutokana na mchango wake katika tasnia ya uanahabari na wale waliotangamana naye. Huzuni ilikuwa dhahiri huku rambirambi zikitolewa, na kuchora taswira ya muungwana aliyejitolea kwa udi na uvumba katika kazi yake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive