Ibada ya wafu ya wanafunzi watano waliofariki maji Uasin Gishu yaandaliwa

  • | Citizen TV
    1,446 views

    Wanafunzi watano waliozama na kufa maji wakati walipokuwa wakijivinjari katika mkahawa wa Amazement Park, watazikwa hii leo . Ibada ya wafu itafanyika katika shule ya Arap Moi katika kaunti ya Uasin Gishu.tunaungana naye John Wanyama ambaye yuko katika shule hiyo kwa mengi zaidi