Ibrahim Traore: Habari potofu zinazotumiwa kumtukuza

  • | BBC Swahili
    4,116 views
    Mamia ya video zinazotolewa na AI zikimuonesha kiongozi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traoré, kama shujaa wa Afrika nzima, nyingi zikiwa na taarifa za uongo, zimekuwa zikijaa kwenye mitandao ya kijamii kote Afrika na Kusini mwa Jangwa la Sahara tangu mwishoni mwa Aprili. Je zimekuwa na ukweli kwa kiasi gani? @sammyawami anaelezea #bbcswahili #burkinafaso #ibrahimtraore Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw