Idadi kubwa ya wakazi wa Busia hawaweki akiba ya pesa

  • | Citizen TV
    76 views

    Idadi kubwa ya wakazi wa kaunti ya Busia wakiwemo walioajiriwa bado hawajakumbatia kuwekeza mapato yao, hali inayochangia kiwango cha juu cha umasikini na kipato cha chini cha wakazi wengi wa kaunti hiyo