- 8,839 viewsDuration: 3:51Idadi ndogo ya wapiga kura imejitokeza katika mchujo wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) katika eneo bunge la Ol Kalou, Kaunti ya Nyandarua. Hii ni kufuatia madai kusambaa kuwa wakazi walipotoshwa na wapinzani wa kisiasa. Hata hivyo mambo yalinyooka baadaye na zoezi hilo kukamilika kama ilivyoratibiwa.