- 830 viewsDuration: 3:13Idadi ya Wakenya wanaoripotiwa kupotea nchini Urusi imeongezeka kutoka 10 hadi 16 ndani ya saa 24 zilizopita. Akiwa mbele ya kamati ya Seneti kuhusu usalama na mashauri ya kigeni, waziri wa mashauri ya kigeni Musalia Mudavadi amethibitisha kuongezeka kwa idadi hiyo akasema kuwa bado haijulikani ikiwa watu hao wako hai au wamefariki.