Idadi ya waliofariki katika ajali ya Naivasha yaongezeka hadi 17

  • | K24 Video
    6 views

    Idadi ya waliofariki katika ajali ya Naivasha imeongezeka hadi 17 baada ya majeruhi watatu kuaga dunia wakipokea matibabu. Chuo kikuu cha Pwani kimewapoteza wanafunzi na wafanyikazi 10 huku wengine wakiachwa wakiuguzwa katika hospitali mbali mbali kufuatia ajali hiyo iliyotokea katika barabara kuu ya Nairobi-Nakuru. Wakati huohuo usimamizi wa chuo hicho umelaumiwa na wanafunz kufuatia ajali hiyo.