Idadi ya waliofariki kwenye ajali Voi yafikia 13 baada mtu mwingine mmoja kufariki hospitalini

  • | Citizen TV
    1,595 views

    Idadi ya waliofariki kwenye ajali ya barabarani ya voi imeongezeka na kufikia watu kumi na watatu baada ya mtu mmoja zaidi kufariki akipokea matibabu. familia za waathiriwa zinazidi kutambua miili ya wapendwa wao katika hospitali ya rufaa ya voi. ajali hiyo ilifanyika eneo la ikanga, voi TaitaTaveta.