Idadi ya watu isiyojulikana wanahofiwa kufariki baada ya mlipuko kutoa eneo la Elwak, Mandera

  • | Citizen TV
    1,148 views

    Idadi ya watu isiyojulikana wanahofiwa kufariki kufutia mlipuko katika eneo lililoko mkabala na kambi ya polisi ya Elwak kaunti ya Mandera kwa mujibu wa wakazi, watu watano wamethibitishwa kufariki huku idadi hiyo ikikisiwa kuwa zaidi. aidha watu kadhaa wamejruhiwa kwenye mlipuko huo uliotokea katika eneo lililo na nyumba za walimu, wauguzi, polisi na wafanyikazi wa sulubu. kufuatia mlipuko huo, benki za eneo hilo zimesitisha shughuli zake. polisi wanasema wanachunguza kisa hicho